Hii leo Waziri wa Fedha na Mipango wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Dkt Mwigulu Nchemba kupitia Maelezo TV ametoa ufafanuzi kuhusu Tozo zlizowekwa na serikali kwenye miamala ya Simu na Benki kisha akatoa rai kwa wananchi kuwa na subira kutokana na uwepo wa mvutano mkubwa juu la ongezeko la tozo katika miamala kwa kusema kuwa maoni waliyotoa kuhusu tozo hizo yatafanyiwa kazi kwani yana umuhimu sana.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT