Mrembo Zari The Bosslady amesema mpenzi wake, Shakib Cham yupo tayari kwenda kwa wazazi wake ili wafunge ndoa.
–
Mapenzi ya wawili hao toka Uganda yamekuwa yakiteka mazungumzo mtandaoni kwa kiasi chake.
–
“Yeye aliniambia yuko tayari kuonana na baba yangu ili tuchumbiane, anataka kunioa,” alisema Zari.
–
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT
Ikumbukwe Zari The Bosslady ambaye sasa ni Mama wa watoto watano anaishi Afrika Kusini pamoja na familia yake.