
Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja Airtel Tanzania Adrian Lyamba (kulia) akiongea na Katibu Mtendaji wa Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Mary Msuya (wa pili kushoto) na Meneja Elimu na Uhamashishaji wa Baraza hilo Hillarly Tesha ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa wateja.
Wa pili kulia ni Meneja Uhusiano Airtel Jennifer Mbuya.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT