ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, March 20, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

ANUSURIKA KUUAWA BAADA YA KUFUMANIWA AKIFANYA MPENZI NA MTOTO WAKE

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Oct 27, 2022
in HABARI
0
ANUSURIKA KUUAWA BAADA YA KUFUMANIWA AKIFANYA MPENZI NA MTOTO WAKE
0
SHARES
51
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

 

RelatedPosts

RJ THE DJ VIFO VINAONGEZA MSONGO WA MAWAZO

ROMY JONS AOMBA MSAMAHA

Mar 20, 2023

MCHUNGAJI AFUNGA KANISA KISA ASHINDA MIL 100 ZA “KUBETI”

Mar 20, 2023

WAZIRI BITEKO ATAKA BAJETI YA 2023/24 KUZINGATIA VIPAUMBELE VYA WIZARA

Mar 20, 2023
Load More

 

Mwanamke mwenye umri wa kati kutoka kaunti ya Meru, alinusurika kifo kwenye tundu ya sindano Jumanne, Oktoba 25, baada ya wakazi wenye hasira kumvamia nyumbani kwake akidaiwa kufumaniwa akifanya mapenzi na mwanawe wa kiume.

 

 

 

–

 

 

 

Mwanamke huyo kutoka Kiguchwa eneo la Tigania ya Kati alikabiliwa na ghadhabu za wanawake wenzake baada ya kuripotiwa kuwa katika mahusiano ya karibu na mwanawe wa kiume mwenye umri wa miaka 27.

 

 

 

–

 

ADVERTISEMENT

 

 

Kulingana na chifu wa eneo hilo Edwin Mwiti, mwanamke huyo anadaiwa kuwa na tabia ya kuwavizia wavulana wadogo na mwanawe kufanya naye tendo la ndoa, hatua aliyosema iliwakera wanakijiji waliotaka kuangamiza maisha yake.

 

 

 

–

 

 

“Nimepokea ripoti kwamba mwanamke huyo alifumaniwa mumewe akifanya tendo hilo na mwanawe na ambaye alipiga nduru iliyowavutia wanakijiji,” chifu huyo alisema kama alivyonukuliwa na K24.

 

 

 

–

 

 

Aliongeza kuwa wenyeji waliamua kufuata sheria za kimila kumwadhibu mwanamke huyo ambaye walimtaja kama mtu hatari kwa wavulana wadogo na wanaume katika eneo hilo.

 

 

 

–

 

 

Kisha baadaye alitolewa nje ya nyumba yake na wanawake wenzake wenye hasira baada ya mumewe kuwajuza habari hizo. Umati wa watu ulivamia boma la mwanamke huyo katika kijiji cha Kanguba huku wakiimba nyimbo na kubeba matawi kabla ya kumburuta hadi kwenye kituo cha soko lilo karibu.

 

ADVERTISEMENT

 

 

–

 

 

 

 

Mwanamke huyo aliyetambulika kwa jina Kaumi alilazimishwa kubeba ndizi mbivu mgongoni huku wanawake wenzake wakimpiga mijeledi Mamlaka ya eneo hilo pia ililaani kitendo hicho ikisisitiza kuwa mwanamke huyo na mwanawe wanapaswa kukabiliwa kisheria.

Related

ADVERTISEMENT
Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

RJ THE DJ VIFO VINAONGEZA MSONGO WA MAWAZO
HABARI

ROMY JONS AOMBA MSAMAHA

by Shabani Rapwi
Mar 20, 2023
MCHUNGAJI AFUNGA KANISA KISA ASHINDA MIL 100 ZA “KUBETI”
HABARI

MCHUNGAJI AFUNGA KANISA KISA ASHINDA MIL 100 ZA “KUBETI”

by ALFRED MTEWELE
Mar 20, 2023
WAZIRI BITEKO ATAKA BAJETI YA 2023/24 KUZINGATIA VIPAUMBELE VYA WIZARA
HABARI

WAZIRI BITEKO ATAKA BAJETI YA 2023/24 KUZINGATIA VIPAUMBELE VYA WIZARA

by Shabani Rapwi
Mar 20, 2023
TMA YATOA TAHADHARI MVUA KUBWA MIKOA HII KUANZIA LEO NA KESHO
HABARI

TMA YATOA TAHADHARI MVUA KUBWA MIKOA HII KUANZIA LEO NA KESHO

by Shabani Rapwi
Mar 20, 2023
WATU 5 WASHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA WIZI MAFUTA SGR
HABARI

WATU 5 WASHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA WIZI MAFUTA SGR

by ALFRED MTEWELE
Mar 20, 2023
MARUFUKU KUTOA FEDHA UPATE DHAMANA POLISI
HABARI

MARUFUKU KUTOA FEDHA UPATE DHAMANA POLISI

by Shabani Rapwi
Mar 20, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
October 2022
M T W T F S S
 12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930
31  
« Sep   Nov »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In