Uongozi wa Azam FC umetangaza mechi yao dhidi ya Simba itakayochezwa Oktoba 27 saa 1:00 usiku itapigwa uwanja wa Mkapa badala ya Azam Complex kwasababu walizotoa ni kanuni timu kuchagua uwanja mwingine wa kucheza mechi pia kuwapa fursa mashabiki wengi wa soka kushuhudia burudani.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT