Kocha Zoran Maki ameendelea kufaya vizuri katika Ligi Kuu ya Misri akiwa na klabu yake ya Al Ittihad baada ya jana kupata ushindi wake wa pili mfululizo.
–
Al Ittihad imeichapa El Daklyeh mabao 2-0, ushindi ambao unawapeka mpaka nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi Kuu ya Misri.
ADVERTISEMENT
–
Zoran Maki akiwa na Al Ittihad:
ADVERTISEMENT
• Mechi – 2
• Ushindi – 2
• Alama – 6
• Mabao ya kufunga matatu
• Hakuna bao la kufungwa
• nafasi ya 2
–
Zoran yuko mbele ya Al Ahly kwenye msimamo wa ligi.