
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano Benki ya CRDB @crdbbankplc, TullyEsther Mwambapa akiambatana na Katibu Mkuu wa TBF, Mwenze Kabinda leo wamekabidhi jezi kwa MVPs wa CRDB Bank Taifa Cup kwa mwaka 2020 na 2021 ambao watachuana kesho katika viwanja vya Don Bosco Oysterbay kama sehemu ufunguzi wa msimu wa CRDB Bank Taifa Cup 2022. Makabidhiano hayo yamefanyika katika makao makuu ya Benki ya CRDB jijini Dar es Salaam na kushuhudiwa na makocha wa timu za MVPs na wadau wengine.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT