Timu ya Benki ya CRDB kutoka vitengo vya Biashara pamoja na huduma kwa wateja, imeendelea kuwafikia wateja wake katika maeneo mbalimbali Tanzania kwa ajili ya kuwasikiliza pamoja na kuboresha huduma zake mbalimbali inapoendelea kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja mwaka huu 2022.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT