Benki ya NMB yawapa mkono wa kheri wafanyabiashara 15 ambao imewawezesha kwenda kwenye ziara ya maonyesho ya kibiashara mjini Istanbul- Turkey jana jioni.
Ikiamini kuwa ziara hio inakwenda kuwapa fursa ya kukusanya ujuzi wa kimaendeleo ili kuweza kusaidia kukuza biashara zao.
Afisa Mkuu wa Mikopo Benki ya NMB – Bw. Daniel Mbotto ndiye ameambatana na Afisa Mkuu wa Huduma Shirikishi – Bi. Nenyuata Menjooli, Mkuu wa Idara wa Biashara- Bw. Alex Mgeni, Wasafiri pamoja na wafanyakazi wengine wa benki kushuhudia maonyesho hayo.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT