ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, April 1, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

DART YATAKIWA KUDHIBITI UVUJAJI WA MAPATO

Dar es Salaam, Tanzania

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
Oct 13, 2022
in HABARI
0
DART YATAKIWA KUDHIBITI UVUJAJI WA MAPATO
0
SHARES
59
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

RelatedPosts

DKT. DUGANGE- BILIONI 69.95 ZIMETENGWA KUNUNUA VIFAA TIBA NCHINI

DKT. DUGANGE- BILIONI 69.95 ZIMETENGWA KUNUNUA VIFAA TIBA NCHINI

Feb 9, 2023

Dkt. Jafo: “Huenda zaidi ya Sh. Trilioni 1 Zikapatikana kwa Mwaka Kutokana na Biashara ya Kaboni”

Feb 3, 2023

Bilioni 213 za Miradi ya DMDP Zaistawisha Temeke

Feb 2, 2023
Load More

May be an image of 14 people, people standing and outdoors

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Angellah Kairuki amewaagiza Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) kuhakikisha inadhibiti uvujaji wa mapato kwa kuweka mifumo mizuri inayoweza kuzuia changamoto hio.
Ametoa rai hiyo jana Oktoba 12, 2022 wakati wa ziara yake ya kukagua miundombinu,karakana na maeneo mengine yaliyo chini ya DART, jijini Dar-es-salaam na kuupongeza Wakala huo kwa hatua mbalimbali zilizochukuliwa za kudhibiti mapato na kuutaka kuongeza jitihada zaidi ili kuhakikisha mapato ya Serikali hayapotei
“Hakikisheni mifumo yenu ni salama hakuna mianya ya upotevu wa mapato na hakikisheni mifumo inakaguliwa ili kupunguza mianya ya upotevu wa mapato kwenye vituo vya kukatia tiketi” amesisitiza Waziri Kairuki
Amesema kuwa kweye TEHAMA kumekuwa na changamoto nyingi, hivyo amewaelekeza kufanya ukaguzi na mapitio ya mara kwa mara ya mifumo kwa lengo la kujiridhisha kwenye suala la ukusanyaji wa mapato.
Pamoja na hilo pia Waziri Kairuki ametoa onyo kali kwa wananchi wote wanaoingilia miundombinu ya Mabasi hayo yaendayo haraka huku akisisitiza kuwa kuanzia sasa Serikali haitakuwa na ‘Msalie Mtume’ kwa yeyote atakayekiuka agizo hilo.
Amesema wakati Serikali ikisubiri ujio wa mfumo mpya unaotarajiwa kufungwa katika kipindi cha wiki 16 kuanzia sasa, sambamba na tiketi zilizopo sasa za usafiri wa mabasi hayo kuunganishwa na mifumo ya TRA, DART inapaswa kuwa na njia zaidi ili kulinda mapato hayo.
“Mhakikishe hakuna uvujaji wa mapato kwa kuipitia mara kwa mara mifumo yote na kujiridhisha kuwa ipo salama, pia muendelee kuifanyia ukaguzi na mapitio mifumo yote ya TEHAMA ili kuilinda dhidi ya upotevu huo wa mapato hayo” amesisitiza Waziri Kairuki.
Aidha, amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuona umuhimu wa mradi huo wenye mabasi yapatayo 210 ambayo hutoa huduma kwa wananchi kati ya 190,000 hadi 210,000 kwa siku
Vilevile, Waziri Kairuki ameuagiza Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka kuhakikisha iwanawaondolea usumbufu wananchi wa kukaa muda mrefu kwevye vituo wakidubiri huduma
May be an image of 8 people, people standing, indoor and text that says 'DART'
May be an image of 6 people, people standing and indoor
May be an image of 6 people, people standing and outdoors
May be an image of 5 people, people sitting and indoor
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Related

Tags: OFISI YA RAIS TAMISEMI
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI
HABARI

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
GARI LA KIFAHARI ZAIDI NA LENYE THAMANI KUBWA
HABARI

GARI LA KIFAHARI ZAIDI NA LENYE THAMANI KUBWA

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
ONYANGO AOMBEWA MSAMAHA KWA ALICHOFANYA
HABARI

ONYANGO AOMBEWA MSAMAHA KWA ALICHOFANYA

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
KOCHA NABI NA WACHEZAJI HAWA KUKOSA MCHEZO DHIDI YA MAZEMBE, SABABU YATAJWA
HABARI

KOCHA NABI NA WACHEZAJI HAWA KUKOSA MCHEZO DHIDI YA MAZEMBE, SABABU YATAJWA

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
TANI 20.6 ZA BANGI ZIMEKAMATWA 2022
HABARI

TANI 20.6 ZA BANGI ZIMEKAMATWA 2022

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
SAFU YA ULINZI IMEWAANGUSHA SIMBA
HABARI

SAFU YA ULINZI IMEWAANGUSHA SIMBA

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
October 2022
M T W T F S S
 12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930
31  
« Sep   Nov »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In