Klabu ya Dodoma Jiji imetozwa faini ya Sh. 500,000 (laki tano) kwa kosa la kuchelewa kutoka kwenye chumba cha kuvalia jambo lililosababisha mchezo wao dhidi ya Simba SC kuchelewa kuanza kwa dakika moja (1) na sekunde 30.
–
Simba SC iliibuka na ushindi wa 3-0 katika mchezo huo uliofanyika katika dimba la Benjamin Mkapa.