Msanii maarufu nchini Tanzania, Mwanzilishi na Mkurugenzi mkuu wa Label ya WCB Wasafi, Diamond Platnumz (Nasib Abdul) kupitia akaunti yake ya Mtandao wa kijamii wa Instagram aweka bayana kuhusu EP mpya ya msanii wake chini ya Lebo hio Mbosso (Mbwana Yusuph Kilungi) kwamba itakuwa ni EP kali sana ya kufunga mwaka, akidokezea pia moja ya wimbo alioshirikishwa uitwao “YATANIAUA”
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT