Ujumbe wa Gigy Kuhusu Kupendwa na Diva The Baswe wa Wasafi Fm, Gigy_money ameandika Ig,
–
Gigy, “Asa nimekaa hapa nawaza … najiona mjinga Eti …!!! Kumbe humzaniae ndie kumbe sie jamani… nilicho kuja kujua akuna mtu ananipenda kama uyo dada wa picha ya pili Afu nilikua najua anipendi maskini 😷 ya Mungu , kumbe yeye ndio My realest sis @divatheebawse Thanks for your Love ❤️ and care kumbe things can happen so Fast 💨😎😅
ADVERTISEMENT