Meneja wa msanii Harmonize, Choppa amesema kuwa hakuna anayeweza kuishusha lebo ya Konde Gang kwenye kiwanda cha muziki.
ADVERTISEMENT
–
Kupitia insta-story yake Choppa ameandika “Hatushuki na hakuna anayeweza kutushusha kwenye huu muziki. Ni Mungu na kifo pekee” Choppa
ADVERTISEMENT