ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Tuesday, March 28, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

ILI TAADHARI ICHUKULIWE DHIDI YA EBOLA

Morogoro, Tanzania

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
Oct 13, 2022
in HABARI
0
ILI TAADHARI ICHUKULIWE DHIDI YA EBOLA
0
SHARES
42
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

May be an image of 3 people, people standing and indoor

 

RelatedPosts

SERIKALI YATANGAZA KUZUKA KWA UGONJWA USIOJULIKANA KAGERA

SERIKALI YATANGAZA KUZUKA KWA UGONJWA USIOJULIKANA KAGERA

Mar 17, 2023

YASTAAJABISHA: VIJANA WANAHITAJI UZA FIGO ZAO

Mar 13, 2023

MUSWADA WA BIMA YA AFYA KWA WOTE KIKWAZO TENA

Feb 9, 2023
Load More
Wataalamu wa Afya wametakiwa kujua ugonjwa wa Ebola na kuwaelimisha wengine ili kujua jinsi ya kujikinga pamoja na kuchukua tahadhari sahihi namna ya kukabiliana na ugonjwa huo.
Hayo ameyasema Mganga Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Urio Kusirye jana wakati akifungua mafunzo ya kuijengea uwezo timu ya matibabu ya magonjwa ya mlipuko na jinsi ya kujikinga na kudhibiti maambukizi ya ugonjwa ikiwemo tishio la Ebola.
“Magonjwa mengi ya mlipuko yanapotokea huwa yanaathiri huduma nyingine, tunapaswa kuchukua elimu hii na kwenda kuielimisha jamii katika Mikoa yetu tuliyotoka.” Amesema Dkt. Kusirye
Aidha, Dkt. Kusirye amesema kuwa matarajio ya Serikali ni makubwa baada ya kutolewa kwa mafunzo hayo kutoka kwa wataalamu wa Afya kwa kushirikiana na Shirika la Afya Duniani (WHO).
“Morogoro ni katikati ya Mikoa mingi na magari (maroli) yanayopita hapa sio chini ya elfu Saba kwa siku kutoka sehemu mbalimbali ndani na nje ya nchi hivyo niwaombe sana tupambane tuzuie ugonjwa huu usiingie nchini.”
Hata hivyo, Wizara ya Afya kwa kushirikiana na Shirika la Afya Duniani (WHO) imelenga kutoa mafunzo hayo kwa Wataalamu wa Afya ambao ni wakufunzi ngazi ya Taifa kwa lengo la kwenda kutoa elimu hiyo katika Mikoa husika.
Wakufunzi hao waliochaguliwa ni watumishi kutoka katika Hospitali ya Taifa, Hospitali za Kanda, Hospital Maalumu na Hospitali za Rufaa za Mikoa nchi nzima ambapo kwa sasa wameanza na Mikoa 12.
Wataalamu kwa kundi la kwanza limewajumuisha wataalamu kutoka Morogoro, Dar es Salaam, Mbeya, Kilimanjaro, Iringa, Dodoma, Kagera, Mwanza, Mara, Geita, Songwe na Pwani.
May be an image of 9 people, people sitting and indoor
May be an image of 14 people, people standing, people sitting and indoor
May be an image of 1 person, standing and indoor
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Related

Tags: Wizara ya Afya
ADVERTISEMENT
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

TAASISI YA GREEN KIDS AND YOUTH FOUNDATION  KUENDELEZA MAHUSIANO BORA NA WADAU KATIKA KUTETEA UNYANYASAJI WA KIJINSIA
HABARI

TAASISI YA GREEN KIDS AND YOUTH FOUNDATION KUENDELEZA MAHUSIANO BORA NA WADAU KATIKA KUTETEA UNYANYASAJI WA KIJINSIA

by Ally Hamis Zingizi
Mar 27, 2023
NALA kuwekeza zaidi ya Sh. Bilioni 2 baada ya kupata leseni ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT)
HABARI

NALA kuwekeza zaidi ya Sh. Bilioni 2 baada ya kupata leseni ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT)

by I am Krantz
Mar 27, 2023
Naibu Waziri   aipongeza Benki ya NBC kwa kusaidia maendeleo ya  michezo
HABARI

Naibu Waziri aipongeza Benki ya NBC kwa kusaidia maendeleo ya michezo

by I am Krantz
Mar 27, 2023
MZEE WA MIAKA 92 AFUNGA NDOA YA TANO MWAKA MMOJA BAADA YA NDOA NNE KUVUNJIKA
HABARI

MZEE WA MIAKA 92 AFUNGA NDOA YA TANO MWAKA MMOJA BAADA YA NDOA NNE KUVUNJIKA

by Shabani Rapwi
Mar 27, 2023
BAKWATA YASHIKILIA MSIMAMO NDOA MIAKA 14
HABARI

BAKWATA YASHIKILIA MSIMAMO NDOA MIAKA 14

by Shabani Rapwi
Mar 27, 2023
MOURINHO KOCHA BORA WA KARNE – ÖZIL
HABARI

MOURINHO KOCHA BORA WA KARNE – ÖZIL

by Shabani Rapwi
Mar 27, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
October 2022
M T W T F S S
 12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930
31  
« Sep   Nov »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In