ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Tuesday, March 28, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

JELA MIAKA 30 KWA KUMBAKA MTOTO WA MIAKA 15

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Oct 27, 2022
in HABARI
0
JELA MIAKA 30 KWA KUMBAKA MTOTO WA MIAKA 15
0
SHARES
87
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

RelatedPosts

TAASISI YA GREEN KIDS AND YOUTH FOUNDATION  KUENDELEZA MAHUSIANO BORA NA WADAU KATIKA KUTETEA UNYANYASAJI WA KIJINSIA

TAASISI YA GREEN KIDS AND YOUTH FOUNDATION KUENDELEZA MAHUSIANO BORA NA WADAU KATIKA KUTETEA UNYANYASAJI WA KIJINSIA

Mar 27, 2023

NALA kuwekeza zaidi ya Sh. Bilioni 2 baada ya kupata leseni ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT)

Mar 27, 2023

Naibu Waziri aipongeza Benki ya NBC kwa kusaidia maendeleo ya michezo

Mar 27, 2023
Load More

ADVERTISEMENT
Mahakama ya wilaya ya Kiteto, mkoani Manyara, imemhukumu miaka 30 jela Emmanuel Masawe (50) mkazi wa Kigamboni mkoani humo kwa kosa la kumbaka binti wa kazi wa miaka (15) kwa nguvu, baada ya kumdanganya atampa taiti na taiti na kitenge ambavyo hata hivyo baada ya kumbaka hakumpa vitu hivyo.

–

Hakimu wa Mahakama ya wilaya ya Kiteto Mossy Sasi, alisema mahakamani hapo kuwa, hukumu hiyo imezingatia kukithiri kwa vitendo vya ukatili haswa ubakaji kwa watoto wadogo, hivyo ili iwe fundisho kwa wengine wenye tabia kama hiyo mtuhumiwa huyo atatumikia kifungo hicho cha miaka 30 jela.

–

Hakimu Sasi alieleza mahakamani hapo kuwa tukio hilo lilitokea Aprili 23, 2021 majira ya saa 3:00 asubuhi nyumbani kwa Joyce Msiba mkazi wa eneo hilo la Kigamboni Kata ya Patimbo.

–

Alisema siku hiyo mtuhumiwa alifika nyumbani kwa jirani yake huyo akiwa na kitenge na nguo moja ya ndani vilivyofungwa kwa pamoja.

–

Hapo alimkuta binti huyo wa kazi ambaye jina lake limehifadhiwa aliyekuwa anamlea mtoto mdogo wa mwenye nyumba, na alianza kumdanganya na zawadi hizo ili afanye naye mapenzi Hakimu Sasi aliendelea kueleza mahakamani hapo kuwa mtuhumiwa aliamua kumtoa mtoto mdogo anayekuwa analelewa na binti huyo nje ili iwe rahisi kwake kufanya naye mapenzi ambapo pamoja na kukataliwa zawadi hizo na binti huyo mtuhumiwa alitumia nguvu na kumbaka hapo ndani na kisha kuondoka.

Baada ya binti huyo kuachiwa alitoka na kuanza kuhaha kumtafuta mtoto huyo mdogo aliyetelekezwa nje ambapo hapo alikutana na majirani na kuwaeleza tukio hilo

–

Mtuhumiwa aliposomewa shtaka lake hilo yeye alikana na kwamba alisema anasingiziwa hivyo atakuwa na shahidi mmoja huku upande wa mashtaka ukiwa na mashahidi nane

–

Hivyo alimtaka aeleze mahakama kama anachakujitetea ili mahakama isimpe adhabu kali na kusema yeye anategemewa na mke na watoto hivyo Hakimu ampunguzie adhabu

–

Mwendesha mashtaka wa Serikali Joseph James mahakamani hapo alimweleza Hakimu kuwa mtuhumiwa, Emmanuel Masawe alitenda kosa hilo la ubakaji chini ya kifungu cha 130 (1) (2) (e) na Kif cha 131 (1) sheria ya kanuni ya adhabu sura ya 16 kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2022.

ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

TAASISI YA GREEN KIDS AND YOUTH FOUNDATION  KUENDELEZA MAHUSIANO BORA NA WADAU KATIKA KUTETEA UNYANYASAJI WA KIJINSIA
HABARI

TAASISI YA GREEN KIDS AND YOUTH FOUNDATION KUENDELEZA MAHUSIANO BORA NA WADAU KATIKA KUTETEA UNYANYASAJI WA KIJINSIA

by Ally Hamis Zingizi
Mar 27, 2023
NALA kuwekeza zaidi ya Sh. Bilioni 2 baada ya kupata leseni ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT)
HABARI

NALA kuwekeza zaidi ya Sh. Bilioni 2 baada ya kupata leseni ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT)

by I am Krantz
Mar 27, 2023
Naibu Waziri   aipongeza Benki ya NBC kwa kusaidia maendeleo ya  michezo
HABARI

Naibu Waziri aipongeza Benki ya NBC kwa kusaidia maendeleo ya michezo

by I am Krantz
Mar 27, 2023
MZEE WA MIAKA 92 AFUNGA NDOA YA TANO MWAKA MMOJA BAADA YA NDOA NNE KUVUNJIKA
HABARI

MZEE WA MIAKA 92 AFUNGA NDOA YA TANO MWAKA MMOJA BAADA YA NDOA NNE KUVUNJIKA

by Shabani Rapwi
Mar 27, 2023
BAKWATA YASHIKILIA MSIMAMO NDOA MIAKA 14
HABARI

BAKWATA YASHIKILIA MSIMAMO NDOA MIAKA 14

by Shabani Rapwi
Mar 27, 2023
MOURINHO KOCHA BORA WA KARNE – ÖZIL
HABARI

MOURINHO KOCHA BORA WA KARNE – ÖZIL

by Shabani Rapwi
Mar 27, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
October 2022
M T W T F S S
 12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930
31  
« Sep   Nov »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In