ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, March 20, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

JITIHADA NA RASILIMALI ZIELEKEZWE KWA WANAWAKE PIA

Morogoro, Tanzania

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
Oct 17, 2022
in HABARI
0
JITIHADA NA RASILIMALI ZIELEKEZWE KWA WANAWAKE PIA
0
SHARES
46
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

RelatedPosts

MWALIMU ADAIWA KUMUUA MWENZAKE DARASANI

MWALIMU ADAIWA KUMUUA MWENZAKE DARASANI

Mar 17, 2023

Mchungaji Kimaro arejea KKKT Kijitonyama

Mar 17, 2023

Fr. Sanga; “Kiongozi Mzuri ni Yule Anayemcha Mungu”

Mar 14, 2023
Load More
ADVERTISEMENT

May be an image of 4 people, people standing and outdoors

Wadau wa maendeleo hasa wanaoshughulikia masuala ya wanawake wameaswa kuelekeza rasilimali na jitihada zaidi katika kuwasaidia wanawake wanaoishi vijijini ambao ndio wazalishaji wakubwa wa malighafi za Viwanda na mazao ya chakula katika Kaya na ndio wachangiaji wakuu wa Pato la Taifa.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima ameyasema hayo alipozungumza na wananchi katika kata ya Mang’ula, Halmashauri ya mji Ifakara, wilaya ya Kilombero, mkoani Morogoro aliposhiriki maadhimisho ya siku ya kimataifa ya mwanamke anayeishi kijijini, Oktoba 15, 2022.
Waziri Dkt. Gwajima amesema kuwa Wanawake hasa wa vijijini ndio wanapata changamoto nyingi zaidi kutokana na mgawanyo wa majukumu katika Familia, uwezo mdogo wa kipato, Elimu na Ujuzi duni, Mila na Desturi Kandamizi, Ukubwa wa wategemezi katika Kaya na udhaifu wa Miundombinu iliyopo Vijijini, hivyo ni muhimu sana kuimarisha ustawi na maendeleo yao ili kupunguza changamoto zinazowakabili.
“Serikali imeamua kuimarisha Ustawi na Maendeleo ya Mwanamke anayeishi kijijini ili kuleta mabadiliko endelevu yatakayonufaisha jamii kwa ujumla na kumpunguzia huyu mama anayeishi kijijini athari mbalimbali zinazotokana na mabadiliko ya Tabianchi ikiwa ni pamoja na Njaa, Ukame na Mafuriko yanayoweza kuleta madhara ya kuharibu Nyumba zilizo dhaifu”. Amesema Mhe. Dkt. Gwajima.
Ameongeza kwamba Maadhimisho hayo yanatumika kuhamasisha Wadau kuelekeza Rasilimali kwa wanawake waishio vijijini ambapo matokeo yake ni yatawezesha kuainisha mbinu za kuamsha Ari ya Wadau kuboresha hali na mazingira ya vijijini kwa kutoa kipaumbele katika kushughulikia changamoto, mahitaji yao na kuunga mkono jitihada za Wanawake Waishio Vijijini na kuandaa Mifumo ya kukusanya Takwimu za mchango wa Wanawake Waishio Vijijini katika kuinua uchumi wa Taifa.
Aidha, Waziri Dkt Gwajima amesema majukumu hayo yatajenga uwezo wa Wanawake Waishio Vijijini kuthubutu kushiriki katika Siasa, Uongozi na nafasi za kutoa Maamuzi ili waweke msukumo katika kuelekeza Rasilimali, Nyenzo za Uzalishaji Mali na huduma za kifedha kwa Vikundi vya Wanawake na SACCOS zilizopo vijijini na kuelimisha jamii.
May be an image of 12 people and people standing
ADVERTISEMENT

Related

Tags: WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII
ADVERTISEMENT
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

RJ THE DJ VIFO VINAONGEZA MSONGO WA MAWAZO
HABARI

ROMY JONS AOMBA MSAMAHA

by Shabani Rapwi
Mar 20, 2023
MCHUNGAJI AFUNGA KANISA KISA ASHINDA MIL 100 ZA “KUBETI”
HABARI

MCHUNGAJI AFUNGA KANISA KISA ASHINDA MIL 100 ZA “KUBETI”

by ALFRED MTEWELE
Mar 20, 2023
WAZIRI BITEKO ATAKA BAJETI YA 2023/24 KUZINGATIA VIPAUMBELE VYA WIZARA
HABARI

WAZIRI BITEKO ATAKA BAJETI YA 2023/24 KUZINGATIA VIPAUMBELE VYA WIZARA

by Shabani Rapwi
Mar 20, 2023
TMA YATOA TAHADHARI MVUA KUBWA MIKOA HII KUANZIA LEO NA KESHO
HABARI

TMA YATOA TAHADHARI MVUA KUBWA MIKOA HII KUANZIA LEO NA KESHO

by Shabani Rapwi
Mar 20, 2023
WATU 5 WASHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA WIZI MAFUTA SGR
HABARI

WATU 5 WASHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA WIZI MAFUTA SGR

by ALFRED MTEWELE
Mar 20, 2023
MARUFUKU KUTOA FEDHA UPATE DHAMANA POLISI
HABARI

MARUFUKU KUTOA FEDHA UPATE DHAMANA POLISI

by Shabani Rapwi
Mar 20, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
October 2022
M T W T F S S
 12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930
31  
« Sep   Nov »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In