ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Friday, March 24, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Kasi ya ukuaji NMB yawakosha wateja,waongezeka kwa zaidi ya asilimia 500 – Babati  

I am Krantz by I am Krantz
Oct 21, 2022
in HABARI
0
Kasi ya ukuaji NMB yawakosha wateja,waongezeka kwa zaidi ya asilimia 500 – Babati  
0
SHARES
28
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT
Mkuu wa wilaya ya Ngorongoro, Raymond Mangwala (kushoto) akipongezena na Mkuu wa Idara ya Huduma Shirikishi wa Benki ya NMB, Valence Mtongole (Kulia) baada ya kupokea meza 100 na viti 100 kutoka kwa benki hiyo kwaajili ya shule za Sekondari za Samunge na Digodigo za wilayani hapo. Katikati ni Meneja wa Benki ya NMB kanda ya Kaskazini, Dismas Prosper pamoja na wanafunzi Wawakilishi wa shule hizo
Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro, Raymond Mangwala (kushoto), Mkuu wa Idara ya Huduma Shirikishi wa Benki ya NMB, Valence Mtongole (wapili Kulia) na Meneja wa Benki ya NMB kanda ya Kaskazini, Dismas Prosper wakifurahia kwa pamoja baada ya kupokea meza 100 na viti 100 kutoka kwa benki hiyo kwaajili ya shule za Sekondari za Samunge na Digodigo za wilayani Ngorongoro.

Mbali na huduma za viwango vya kifalme, wateja wa Benki ya NMB wamekiri kuvutiwa  na mafanikio yake kiutendaji hasa kasi ya ukuaji wake ambayo wengi wamesema ni sababu ya wao kuendelea kuwa waaminifu kwa taasisi hiyo.

Kwa kuzingatia hilo, wateja hao wamesema msimu huu wanasherekea Wiki ya Huduma kwa Wateja duniani kwa kutambua pia mchango wa benki hiyo na huduma zake kwenye mafanikio yao na maendeleo ya taifa kwa ujumla.

RelatedPosts

MORGAN HERITAGE KUACHIA ALBUM YAO APRILI 21

MORGAN HERITAGE KUACHIA ALBUM YAO APRILI 21

Mar 24, 2023

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Ijumaa Machi 24,2023

Mar 24, 2023

MESUT ÖZIL ATANGAZA KUSTAAFU SOKA

Mar 23, 2023
Load More

Huko Babati mkoani Manyara, wateja wa NMB walisema benki hiyo inafanikiwa pia kwa sababu ya kuaminiwa na watu wengi kitu kinachoifanya kuongoza kwa idadi ya ambao sasa hivi ni zaidi ya milioni nne na wameishukuru benki hiyo kwa huduma bora na bunifu za kisasa

Kwa mujibu wa Bi Aika Lema, vile vile NMB inawavutia wengi kutokana na uwekezaji wake endelevu kwenye miradi ya kijamii na ufadhili wa shughuli za jumuiya mbalimbali kama ilivyofanya siku kanda ya kaskazini kuadhimisha huduma kwa wateja.

ADVERTISEMENT

Kupitia Mkuu wa Huduma Shirikishi, Bw Valence Mtongole, NMB ilimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Bw Makongoro Nyerere, vifaa vya ujenzi vyenye thamani ya zaidi ya TZS milioni 22.

Mtongole alisema kwao Wiki ya Huduma kwa Wateja ni zaidi ya kuwaenzi watu wanaoifanya NMB kuwa benki kubwa kuliko zote nchini kwani pia ni nafasi ya kupata maoni kuhusu huduma zao na jinsi inavyoendeshwa.

Pia, Mwenyekiti wa Wajasiriamali wa Manyara, Bw Ali Said Msuya, alisema yeye ni miongoni mwa wateja wanaovutiwa na jinsi NMB inavyotengeneza faida kubwa na kurudisha sehemu yake kwa jamii.

Kati ya mwaka 2015 na 2021, faida iliyopata NMB baada ya kodi iliyopaa kwa zaidi ya asilimia 93 kutoka TZS bilioni 150 hadi TZS bilioni 290.

MWISHO…

ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023
HABARI

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Ijumaa Machi 24,2023

by ALFRED MTEWELE
Mar 24, 2023
WABUNGE WAONYA KUWEKEA VIKWAZO SHERIA YA MAPENZI YA JINSIA MOJA
HABARI

WABUNGE WAONYA KUWEKEA VIKWAZO SHERIA YA MAPENZI YA JINSIA MOJA

by ALFRED MTEWELE
Mar 23, 2023
UWANJA WA NDEGE CHATO KUBORESHWA
HABARI

UWANJA WA NDEGE CHATO KUBORESHWA

by ALFRED MTEWELE
Mar 23, 2023
ASHTAKIWA MAHAKAMANI KUWAINGILIA MBUZI KIMWILI
HABARI

ASHTAKIWA MAHAKAMANI KUWAINGILIA MBUZI KIMWILI

by ALFRED MTEWELE
Mar 23, 2023
NMB yatoa msaada wa milioni 39 kuimarisha sekta ya afya na elimu Kanda ya Kati
HABARI

NMB yatoa msaada wa milioni 39 kuimarisha sekta ya afya na elimu Kanda ya Kati

by I am Krantz
Mar 23, 2023
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023
HABARI

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Alhamisi Machi 23,2023

by ALFRED MTEWELE
Mar 23, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
October 2022
M T W T F S S
 12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930
31  
« Sep   Nov »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In