ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, March 20, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

KILICHOIFANYA SIMBA SC KUFIKISHA KADI ZA NJANO 5 MCHEZONI

Dar es Salaam, Tanzania

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
Oct 24, 2022
in MICHEZO
0
KILICHOIFANYA SIMBA SC KUFIKISHA KADI ZA NJANO 5 MCHEZONI
0
SHARES
81
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

May be an image of 2 people, people playing football and grass

Kitendo cha nyota wa Ghana anayekipiga mnamo klabu ya Simba SC, Augustine Okrah kuvua jezi yake akiwa anashangilia kwa furaha isio na mfano baada ya kutikisa nyavu ya goli la mpinzani wao Yanga na kubadilisha Scoring Board kusomeka 1-0 ndani ya dakika 15′ za kipindi cha kwanza Derby ya Kariakoo kabla ya Yanga kulejesha goli Dakika ndani ya nyongeza 45’+2 ambalo lililosalia kufanya sare ya 1-1,  ilipelekea Simba kuadhibiwa kupitia mchezaji huyo kwa kupata kadi ya kwanza ya njano kwa utovu wa nidhamu, ikijumuisha madhambi mengine katika soka yaliosababisha kadi nne nyingine kutoka kwa wachezaji wengine wa klbu hio kama vile kadi ya njano iliyoelekezwa kwa Cletous Chama na Mohammed Hussein, Habibu Kyombo na Mzamiru Yasin kufanya zifike tano dhidi ya Nne kwa madhambi yaliofanyika na klabu ya Yanga.

RelatedPosts

SIMBA SC KUANZA KUZISAKA POINTI 12 MBEYA

SIMBA SC KUANZA KUZISAKA POINTI 12 MBEYA

Nov 22, 2022

ONA LIGI KUU YA NBC INAVYOZIDI KUBAMBA

Nov 2, 2022

MGUNDA KIBARUANI TENA KUIKABILI AZAM FC

Oct 26, 2022
Load More

Kulingana na Tafsiri wa Sheria 17 za mchezo wa mpira wa miguu zilizopititwa kutumika kimataifa na FIFA, kiwango hicho cha makosa yaliojitokeza mara tano inajidhihirisha ni kiwango cha juu cha utovu wa nidhamu ulio katika klabu hivyo kuna jambo kubwa linatakiwa lifanyike kujinasua katika hilo kama uongozi wa klabu kiujumla.

May be an image of 2 people, people playing sports and grass

ADVERTISEMENT

May be an image of 3 people, people playing sports and grass

ADVERTISEMENT

Related

Tags: NBC PREMIRE LEAGUE
ADVERTISEMENT
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

MUSONDA AHUSIKA ZAIDI YANGA KUTINGA ROBO FAINALI CAFCC
MICHEZO

MUSONDA AHUSIKA ZAIDI YANGA KUTINGA ROBO FAINALI CAFCC

by ALFRED MTEWELE
Mar 20, 2023
YANGA YAFANYA ZOEZI LA UCHANGIAJI DAMU DAR
MICHEZO

YANGA YAFANYA ZOEZI LA UCHANGIAJI DAMU DAR

by ALFRED MTEWELE
Mar 17, 2023
MSEMAJI SINGIDA BS AKANUSHA BRUNO KUTUA YANGA
MICHEZO

MSEMAJI SINGIDA BS AKANUSHA BRUNO KUTUA YANGA

by ALFRED MTEWELE
Mar 17, 2023
RASHFORD AJIWEKEA REKODI NZURI BARANI ULAYA
MICHEZO

RASHFORD AJIWEKEA REKODI NZURI BARANI ULAYA

by ALFRED MTEWELE
Mar 17, 2023
MWENYEKITI WA CHAMA CHA  MABENKI TANZANIA (TBA) AONGOZA MAADHIMISHO  SIKU YA WANAWAKE DUNIANI SEKTA YA MABENKI.
HABARI

MWENYEKITI WA CHAMA CHA  MABENKI TANZANIA (TBA) AONGOZA MAADHIMISHO  SIKU YA WANAWAKE DUNIANI SEKTA YA MABENKI.

by I am Krantz
Mar 17, 2023
TFF YAJA NA JEZI MPYA TAIFA STARS KUTUMIKA AFCON 2O23
MICHEZO

TFF YAJA NA JEZI MPYA TAIFA STARS KUTUMIKA AFCON 2O23

by ALFRED MTEWELE
Mar 16, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
October 2022
M T W T F S S
 12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930
31  
« Sep   Nov »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In