ADVERTISEMENT
Kocha wa klabu ya Liverpool, Jurgen Klopp ameshtakiwa na Chama cha Soka nchini England kufuatia kadi yake nyekundu wakati wa mechi na Manchester City Jumapili iliyopita katika Uwanja wa Anfield.
–
Kesho Ijumaa ana takiwa kujibu shtaka la utovu wa nidhamu.
–
ADVERTISEMENT
Kocha huyo alitolewa nje dakika ya 86 kwa kadi nyekundu baada ya kumkasirikia mwamuzi msaidizi Gary Beswick kwa kutotoa adhabu baada ya Mo Salah kuchezewa rafu katika mchezo huo uliopigwa Oktoba 16, 2022 kwa Majogoo hao kuibuka na ushindi wa bao 1-0