Uongozi wa Konde Music Wordwide jana October 10, 2022 umetangaza kusitisha mikataba na Wasanii wake wawili, Ally Kili Omary (Killy) na Rashid Daudi Manga (Cheed) kwasababu mbalimbali zilizo nje ya uwezo Konde Music.
ADVERTISEMENT
Taarifa rasmi ya Konde Gang imeeleza yafuatayo “Wasanii hawa watakuwa Wasanii huru na kufanya kazi na kuingia mkataba na Kundi au Mtu yeyote na kuendeleza kazi zao kwakuwa tunaamini ni Vijana Wasanii wenye uwezo mkubwa wa kufanikiwa katika safari ya muziki”
ADVERTISEMENT