
Mrembo maarufu kwenye mitandao ya kijamii (sosholaiti) nchini Tanzania, Poshy Queen.
–
Poshy Queen; ni mrembo maarufu kwenye mitandao ya kijamii (sosholaiti) nchini Tanzania ambaye naye ameibua gumzo kama lote.
–
Poshy Queen anasema kuwa, hajui data kamili maana kuna siku anaweza kutumia shilingi milioni 1, siku nyingine 2 au 3 na kama hana mishemishe yupo nyumbani tu, anaweza asitumie pesa yoyote.
–
Mbali na hayo, Poshy Queen anasisitiza kuwa, shepu yake ni mchanganyo wa Kinyakyusa na Kinyarwanda na wala siyo la mchongo.
–
Hata hivyo, kuna baadhi ya watu ambao wamesoma naye sekondari wanadai kwamba hakuna cha mchanganyo wala nini, goma ni la Uturuki maana zamani hakuwa hivyo.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT