ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, March 20, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

MAAGIZO KWA WAKALA WA MABASI YAENDAYO KWA HARAKA (DART)

Dodoma, Tanzania

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
Oct 11, 2022
in HABARI
0
MAAGIZO KWA WAKALA WA MABASI YAENDAYO KWA HARAKA (DART)
0
SHARES
38
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

RelatedPosts

DKT. DUGANGE- BILIONI 69.95 ZIMETENGWA KUNUNUA VIFAA TIBA NCHINI

DKT. DUGANGE- BILIONI 69.95 ZIMETENGWA KUNUNUA VIFAA TIBA NCHINI

Feb 9, 2023

Dkt. Jafo: “Huenda zaidi ya Sh. Trilioni 1 Zikapatikana kwa Mwaka Kutokana na Biashara ya Kaboni”

Feb 3, 2023

Bilioni 213 za Miradi ya DMDP Zaistawisha Temeke

Feb 2, 2023
Load More
May be an image of 3 people and people standing
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Angellah Kairuki ameutaka Walaka wa Mabasi Yaendayo Haraka(DART) kurudi na kupitia nauli za mabasi ili ziwe zinazohimilika kwa wananchi wa vipato vyote.
Kairuki ameyasema hayo jana Oktoba 10, 2022 wakati akizungumza na watumishi wa DART wakati wa ziara ya kikazi katika taasisi hiyo ikiwa ni ziara yake ya kwanza tangu ateuliwe na Rais Samia Suluhu Hassan.
Amesema DART inapaswa kuhakikisha kuna kuwa na huduma ya usafiri ambayo inahimilika kwa wananchi wenye vipato vya aina zote.
” Sisemi bei zifutwe, sisemi pia bei ziwe kiasi gani, lakini wataalamu warudi waangalia kwa jicho la kibiashara lakini wakati huo huo jicho la wananchi.”amesema Waziri Kairuki
Waziri Kairuki pia ameipongeza DART Kwa kuja na mpango wa kuongeza mabasi 177 yanayotumia gesi asilia sambamba na kumpongeza hatua ya kuongeza ukusanyaji wa mapato kwa asilimia 37.16 baada ya kukusanya Sh bilioni 10.8 katika robo ya kwanza ya mwaka.
Aidha, Waziri Kairuki ameagiza kuipitia mikataba ya ubia ya uendeshaji mabasi kwa kuangalia vifungu vinavyohitaji utekelezaji ili utekelezaji ufanyike kwa wakati.
Kuhusu ujenzi wa miundombinu, Waziri Kairuki amewataka kuhakikisha wanakuwa ndani ya wakati huku akipongeza utekelezaji wa awamu ya pili ambayo imefikia asilimia 66.
Waziri Kairuki amemshukuru Rais Samia kutoa Sh bilioni 7.8 kwa ajili ya karakana na kuutaka uongozi kuhakikisha inafuata sheria katika kufanya tathmini na kulipa fidia kwa wakati.
Aidha ameihimiza DART kuendelea kutumia mifumo na teknolojia katika utendaji kazi wa Wakala na utoaji huduma kwa kuangalia mifumo ambayo itatoa unafuu wa gharama kwa kiasi kikubwa.
May be an image of 1 person
May be an image of 4 people, people standing, people sitting and suit
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Related

Tags: OFISI YA RAIS TAMISEMI
ADVERTISEMENT
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

RJ THE DJ VIFO VINAONGEZA MSONGO WA MAWAZO
HABARI

ROMY JONS AOMBA MSAMAHA

by Shabani Rapwi
Mar 20, 2023
MCHUNGAJI AFUNGA KANISA KISA ASHINDA MIL 100 ZA “KUBETI”
HABARI

MCHUNGAJI AFUNGA KANISA KISA ASHINDA MIL 100 ZA “KUBETI”

by ALFRED MTEWELE
Mar 20, 2023
WAZIRI BITEKO ATAKA BAJETI YA 2023/24 KUZINGATIA VIPAUMBELE VYA WIZARA
HABARI

WAZIRI BITEKO ATAKA BAJETI YA 2023/24 KUZINGATIA VIPAUMBELE VYA WIZARA

by Shabani Rapwi
Mar 20, 2023
TMA YATOA TAHADHARI MVUA KUBWA MIKOA HII KUANZIA LEO NA KESHO
HABARI

TMA YATOA TAHADHARI MVUA KUBWA MIKOA HII KUANZIA LEO NA KESHO

by Shabani Rapwi
Mar 20, 2023
WATU 5 WASHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA WIZI MAFUTA SGR
HABARI

WATU 5 WASHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA WIZI MAFUTA SGR

by ALFRED MTEWELE
Mar 20, 2023
MARUFUKU KUTOA FEDHA UPATE DHAMANA POLISI
HABARI

MARUFUKU KUTOA FEDHA UPATE DHAMANA POLISI

by Shabani Rapwi
Mar 20, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
October 2022
M T W T F S S
 12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930
31  
« Sep   Nov »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In