Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Mfuko wa Rocke Feller katika Kukabiliana na UVIKO 19, Adrew Sweet na kujadili kwa namna ya kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuimarisha huduma za kukabiliana na magonjwa ya mlipuko ikiwemo UVIKO 19 na Ebola pamoja na kuinarisha mifumo ya afya.
Mazungumzi hayo yamefanyika katika Ofisi ndogo za Wizara ya Afya zilizopo Jijini Dar es Salaam juzi Oktoba 24, 2022.



ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT