ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, March 20, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

MALAWI YAGUNDUA KABURI LA HALAIKI KASKAZINI MWA NCHI HIYO

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Oct 20, 2022
in HABARI
0
MALAWI YAGUNDUA KABURI LA HALAIKI KASKAZINI MWA NCHI HIYO
0
SHARES
90
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

RelatedPosts

RJ THE DJ VIFO VINAONGEZA MSONGO WA MAWAZO

ROMY JONS AOMBA MSAMAHA

Mar 20, 2023

MCHUNGAJI AFUNGA KANISA KISA ASHINDA MIL 100 ZA “KUBETI”

Mar 20, 2023

WAZIRI BITEKO ATAKA BAJETI YA 2023/24 KUZINGATIA VIPAUMBELE VYA WIZARA

Mar 20, 2023
Load More

Malawi imegundua kaburi la halaiki kaskazini mwa nchi hiyo lenye mabaki ya watu 25 wanaoshukiwa kuwa wahamiaji kutoka Ethiopia.

ADVERTISEMENT

–

“Kaburi hilo liligunduliwa Jumanne jioni, lakini tulilizingira na kuanza kufukua leo. Kufikia sasa, tumegundua miili 25,” msemaji wa polisi Peter Kalaya aliambia shirika la habari la AFP.

–

Polisi walitahadharishwa na wanakijiji katika eneo la Mzimba, yapata kilomita 250 kaskazini mwa mji mkuu, Lilongwe, ambao waliona kaburi hilo wakati wakikusanya asali mwitu msituni.

ADVERTISEMENT

–

Tunashuku kuwa walikuwa wahamiaji haramu ambao walikuwa wakisafirishwa hadi Afrika Kusini kupitia Malawi,” alisema.

–

Aliongeza kuwa ushahidi uliokusanywa kutoka kwenye eneo hilo ulionyesha waathirika walikuwa wanaume raia wa Ethiopia wenye umri wa kati ya miaka 25 hadi 40. Miili hiyo iliyoharibika ilitolewa na kupelekwa katika chumba cha kuhifadhia maiti kwa uchunguzi zaidi.

Related

ADVERTISEMENT
Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

RJ THE DJ VIFO VINAONGEZA MSONGO WA MAWAZO
HABARI

ROMY JONS AOMBA MSAMAHA

by Shabani Rapwi
Mar 20, 2023
MCHUNGAJI AFUNGA KANISA KISA ASHINDA MIL 100 ZA “KUBETI”
HABARI

MCHUNGAJI AFUNGA KANISA KISA ASHINDA MIL 100 ZA “KUBETI”

by ALFRED MTEWELE
Mar 20, 2023
WAZIRI BITEKO ATAKA BAJETI YA 2023/24 KUZINGATIA VIPAUMBELE VYA WIZARA
HABARI

WAZIRI BITEKO ATAKA BAJETI YA 2023/24 KUZINGATIA VIPAUMBELE VYA WIZARA

by Shabani Rapwi
Mar 20, 2023
TMA YATOA TAHADHARI MVUA KUBWA MIKOA HII KUANZIA LEO NA KESHO
HABARI

TMA YATOA TAHADHARI MVUA KUBWA MIKOA HII KUANZIA LEO NA KESHO

by Shabani Rapwi
Mar 20, 2023
WATU 5 WASHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA WIZI MAFUTA SGR
HABARI

WATU 5 WASHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA WIZI MAFUTA SGR

by ALFRED MTEWELE
Mar 20, 2023
MARUFUKU KUTOA FEDHA UPATE DHAMANA POLISI
HABARI

MARUFUKU KUTOA FEDHA UPATE DHAMANA POLISI

by Shabani Rapwi
Mar 20, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
October 2022
M T W T F S S
 12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930
31  
« Sep   Nov »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In