”Kuna kitu hakisemwi bwanaaa, Nasoma Wikipedia hapa kumbe jua na mvua ameshiriki makundi ya ligi ya mabingwa Afrika mara moja tu katika maisha yake yote.
–
ADVERTISEMENT
“Yaani kachukua ubingwa wa ndani mara 28 na ameshiriki Ligi ya mabingwa Afrika mara 28 ila amefanikiwa kucheza makundi mara 1 tuu mara 27 zote alikua anazurura 😀😀 Yaani nimeumia sanaaa kama Mtanzania ila kiuhalisia nafarijika mnooo” Ameandika Ahmed Ally, Msemaji wa Simba SC
ADVERTISEMENT