ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, April 1, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

MAVUNDE ASISITIZA UPIMAAJI WA ARDHI

Songwe, Tanzania

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
Oct 25, 2022
in HABARI
0
MAVUNDE ASISITIZA UPIMAAJI WA ARDHI
0
SHARES
54
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

RelatedPosts

Mkandarasi Apewa Miezi 4 Shamba la Mbegu Msimba Likamilike

Mkandarasi Apewa Miezi 4 Shamba la Mbegu Msimba Likamilike

Mar 22, 2023

MMFL YAFAFANUA KUHUSU TUHUMA ZA MBOLEA

Mar 16, 2023

VIJANA WALIME WACHANE NA KU-BET

Jan 11, 2023
Load More
ADVERTISEMENT
May be an image of 1 person
Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Anthony Mavunde @anthonymavunde ameitaka Timu ya wataalamu wa Ardhi na Halmashauri ya Wilaya za Mkoa wa Songwe kuhakikisha wanatenga maeneo kwajili ya shughuli za Kilimo wakati wa ushughulikiaji na utatuzi wa migogoro ya Ardhi na kuyapima maeneo sambamba na utoaji wa hati za mashamba.
Naibu Waziri Mavunde amezungumza hayo jana tarehe 24 Oktoba, 2022 kwenye mkutano wa hadhara uliohusisha Kamati ya Mawaziri Nane wa Kisekta inayoshughulikia migogoro ya Ardhi kwa Vijiji 975 uliofanyika kwenye Kitongoji cha Nkanka, Kijiji cha Itumba Wilayani Ileje Mkoani Songwe.
“Sisi tunao mkakati maalumu wa kuja na mfumo wa Kilimo cha pamoja ‘Block Farming’ ambapo hivi sasa tunayo mashamba makubwa 110 Nchi nzima na tunategemea ifikapo Mwaka 2030 tuwe na Mashamba makubwa yapatayo 10,000. Hivyo, niwaombe, wale wote ambao mtahusika kwenye utekelezaji wa maamuzi haya ya Baraza la Mawaziri, muhakikishe mnatekeleza mpango wa matumizi bora ya Ardhi na kutenga maeneo kwa ajili ya shughuli za Kilimo.
Msiishie kuyatenga tu lakini pia hakikisheni pia mnayapima na kuwapatia hati za umiliki wa mashamba yao.
Rais Samia Suluhu Hassan anatamani kumuona kila mkulima ananufaika na kilimo hivyo kupitia fursa hii ya kupata hati za mashamba itawawezesha pia kupata mikopo kupitia Taasisi mbalimbali za kifedha.”Alisema Mavunde
Katika hatua nyingine, Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye ndiye Mwenyekiti wa Kamati hiyo ya Mawaziri Nane wa Kisekta, *Mhe. Dkt. Angeline Mabula* amezitaka mamlaka za Mikoa, kutenga maeneo ya Ardhi kwajili ya Shughuli za Kilimo na Mifugo.
“Tunaamini kila Mkoa una maeneo ambayo yanafaa kwajili ya Shughuli za Kilimo,Mifugo na Uwekezaji, hivyo basi tuyarasimishe kwa kuyapima pamoja na kuyapatia Hati za umiliki. Makamishna wa Ardhi wa Mikoa na Maafisa Ardhi, muache kufikiri tu katika upimaji wa viwanja pekee” alisisitiza Mhe. Mabula
May be an image of 8 people, people standing, outdoors and tree
ADVERTISEMENT

Related

Tags: WIZARA YA KILIMO
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI
HABARI

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
GARI LA KIFAHARI ZAIDI NA LENYE THAMANI KUBWA
HABARI

GARI LA KIFAHARI ZAIDI NA LENYE THAMANI KUBWA

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
ONYANGO AOMBEWA MSAMAHA KWA ALICHOFANYA
HABARI

ONYANGO AOMBEWA MSAMAHA KWA ALICHOFANYA

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
KOCHA NABI NA WACHEZAJI HAWA KUKOSA MCHEZO DHIDI YA MAZEMBE, SABABU YATAJWA
HABARI

KOCHA NABI NA WACHEZAJI HAWA KUKOSA MCHEZO DHIDI YA MAZEMBE, SABABU YATAJWA

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
TANI 20.6 ZA BANGI ZIMEKAMATWA 2022
HABARI

TANI 20.6 ZA BANGI ZIMEKAMATWA 2022

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
SAFU YA ULINZI IMEWAANGUSHA SIMBA
HABARI

SAFU YA ULINZI IMEWAANGUSHA SIMBA

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
October 2022
M T W T F S S
 12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930
31  
« Sep   Nov »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In