Mashabiki wa pande mbili yaani kati ya Simba SC na klabu ya Yanga walikuwa na shauku kubwa ya kuona wachezaji waliochukuwa nafasi ya majina yao kutamba na rekodi nzuri katika mechi kadhaa walizoweza funga goli au magoli kila mchezo, Moses Phiri (Generali) kutokea Zambia anayekipiga mnamo klabu ya Simba pamoja na Mshambuliaji wa Klabu pinzani Fiston Kalala Mayele (Mzee Wakutetema) Kutokea Nchini Congo anayekipiaga nmamo klabu ya Yanga kufanya maajabu kwa kufunga magoli lakini mambo yalikuwa magumu kwa wao kupenyeza mipira yao wavuni, hivyo hakuna kati yao aliyeweza kufunga hapo jana ingawa wamejitahidi kwa uwezo wao kufanya mpira uchezwe (utembee) kwa kiwango kizuri kupitia mchezo unaofahamika kama Derby ya Kariakoo uliochezwa Octoba 23,2022 katika Dimba la Mkapa jijini Dar es Salaam