Baada ya kufanya vizuri katika mechi kadhaa zilizopita hapo nyuma kwa kukinoa kikosi cha Simba na bila kupoteza michezo 7 iliyokwishachezwa, sasa Kocha Juma Mgunda anacho kibarua tena cha kukifua vilivyo kikosi chake ili kuweza kukabiliana vyema na klabu ya Azam FC katika mchezo wa Mzizima Derby itakayochezwa Alamisi ya Octoba 27,2022