ADVERTISEMENT
Kocha wa klabu ya Liverpool Jurgen Klopp leo Oktoba 8, 2022 anatimiza miaka 7 tangu ateuliwa kuwa kocha wa klabu hiyo mwaka 2015.
–
Mjerumani huyo mwenye umri wa miaka 55 aliteuliwa kuwa kocha mkuu wa Liverpool Oktoba 8, 2015 baada ya kuondoka katika klabu ya Borussia Dortmund ya Ujerumani.
–
Klopp katika kipindi cha miaka 7 ameiongoza Liverpool katika jumla ya mechi 392 akipata ushindi mechi 244 na kufunga jumla ya mabao 816.
–
🏆 World’s Best Club Coach x 2
🏆 Champions League x 1
🏆 Super Cup x 1
🏆 Club World Cup x 1
🏆 Premier League x 1
🏆 League Cup x 1
🏆 FA Cup x 1
🏆 Community Shield x 1.
ADVERTISEMENT