Kupitia mchezo wa Kikapu uanaodhminiwa na Benki ya CRDB na washirika wengine, Timu 36 zinatarajiwa kuchuana vikali kwenye michuano ya CRDB Bank Taifa Cup kuwania zawadi zenye jumla ya thamani ya Sh. Milioni 33 katika vipengele mbalimbali.
Nani na nani wataibuka kidedea? Hio yote itafahamiaka ndani ya Jiji la Tanga katika viwanja vya Bandari, kuanzia tarehe 4 hadi 12 Novemba.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT