Moto mkubwa umeibuka tena katika hifadhi ya bwawa la Mindu Manispaa ya Morogoro na kuendelea kuteketeza maeneo mbalimbali yanayozunguka eneo hilo.
–
Moto huo ulianza kuonekana usiku wa kuamkia loe ambapo vikosi vya ulinzi na usalama pamoja na vikosi vya jeshi la zima moto vilifanikiwa kudhibiti moto huo.
–
ADVERTISEMENT
Leo Mchana moto huo umeanza tena kuwaka ambapo vikosi vya jeshi la zima moto pamoja na wanafunzi wa shule za karibu na bwawa la Mindu wamefika eneo hilo kusaidia kuzima moto huo.
ADVERTISEMENT