
Kampuni ya Mawasiliano Tigo Tanzania ikishirikiana na kampuni ya Xiaomi @xiaomi_tzofficial yazindua simu mpya ya Redmi A1 Plus ikiwa na uwezo mkubwa zaidi Sasa zinapatikana kuanzia leo katika maduka ya Tigo na Xiaomi nchini.
Simu hii imetolewa ikiwa inakuja na ofa ya GB 66 BURE kwa miezi 12 toka Tigo, Kwa wateja wa kwanza kununua ili waweze kufurahia maisha ya kidigtali wakiwa na Redmi A1 Plus.
Hivyo kwa mahitaji ya simu hio wameujuza umma kuwa wanaweza kutembelea katika maduka ya Tigo popote nchini ili wajionee maboresho yaliyo katika simu hio.


ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT