ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Tuesday, March 28, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

MWANAMUZIKI VERCKYS MATETA AFARIKI DUNIA

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Oct 14, 2022
in BURUDANI
0
MWANAMUZIKI VERCKYS MATETA AFARIKI DUNIA
0
SHARES
99
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

ADVERTISEMENT

 

RelatedPosts

TAASISI YA GREEN KIDS AND YOUTH FOUNDATION  KUENDELEZA MAHUSIANO BORA NA WADAU KATIKA KUTETEA UNYANYASAJI WA KIJINSIA

TAASISI YA GREEN KIDS AND YOUTH FOUNDATION KUENDELEZA MAHUSIANO BORA NA WADAU KATIKA KUTETEA UNYANYASAJI WA KIJINSIA

Mar 27, 2023

NALA kuwekeza zaidi ya Sh. Bilioni 2 baada ya kupata leseni ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT)

Mar 27, 2023

Naibu Waziri aipongeza Benki ya NBC kwa kusaidia maendeleo ya michezo

Mar 27, 2023
Load More
Mwanamuziki mashuhuri kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) Verckys Kiamuangana Mateta amefariki dunia huko Kinshasa akiwa na umri wa miaka 78. Verckys amefariki dunia baada kupatwa na maradhi ya kiharusi miezi kadhaa iliyopita.
–

Barani Afrika Verckys na Manu Dibango ndio walikuwa na uchawi wa kupuliza Saxaphon, na alikuwa ni mwanamuziki na mfanyabiashara mkubwa. Alimiliki bendi kadhaa zilizotamba katika miaka ya 70 na 80 kama vile Ochestra Veve, Lipua Lipua na Kiam.
–

 

Pia alimiliki studio ya kurekodi iliyokuwa ikiitwa Edition Veve ambayo bendi nyingi maarufu enzi hizo zikiwemo Lipua Lipua, Les Kamale, Shama Shama, Bella Bella, Kiam, Zaiko Langa Langa zilirekodi nyimbo zao kwake.

–

Verckys Kiamuangana Mateta ameacha watoto 32, huku wawili ambao ni Ancy na Daniel wakifuata nyayo zake katika muziki.
ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

MORGAN HERITAGE KUACHIA ALBUM YAO APRILI 21
BURUDANI

MORGAN HERITAGE KUACHIA ALBUM YAO APRILI 21

by ALFRED MTEWELE
Mar 24, 2023
CHUCHU HANS AZINDUA TAMTHILIA YAKE
BURUDANI

CHUCHU HANS AZINDUA TAMTHILIA YAKE

by ALFRED MTEWELE
Mar 22, 2023
MWANAMUZIKI AKA AFARIKI DUNIA KWA KUPIGWA RISASI
BURUDANI

MWANAMUZIKI AKA AFARIKI DUNIA KWA KUPIGWA RISASI

by Shabani Rapwi
Feb 11, 2023
DAYOO AFUNGUKA KWANINI ANASEMA “NAITWA MANGI…”
BURUDANI

DAYOO AFUNGUKA KWANINI ANASEMA “NAITWA MANGI…”

by ALFRED MTEWELE
Feb 7, 2023
BEYONCÉ AVUNJA REKODI TUZO ZA GRAMMY
BURUDANI

BEYONCÉ AVUNJA REKODI TUZO ZA GRAMMY

by Shabani Rapwi
Feb 6, 2023
TEMS ASHINDA TUZO YA GRAMMY, NI YA KWANZA KWA MSANII WA KIKE NIGERIA
BURUDANI

TEMS ASHINDA TUZO YA GRAMMY, NI YA KWANZA KWA MSANII WA KIKE NIGERIA

by ALFRED MTEWELE
Feb 6, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
October 2022
M T W T F S S
 12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930
31  
« Sep   Nov »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In