“Siku moja nilienda (kwa Harmonize) nikamkuta sebuleni amekaa na Boxer halafu Paula anampapasa kifuani mimi kama Mzazi sikupenda nikamwambia hii sio sawa akaniambia haya ni mambo ya kifamilia yaache.
–
“Mara nyingine tukarundikwa tukawa tunachoma Nyama akaniambia Binti Yangu Paulah nataka akanifanyie Massage nikasema hii sio Massage ni Anasa akasema Pesa inaoongea
–
“Ni Dhambi kubwa sana anafanya ni laana kubwa kutazama Nyuchi za Mama na Mtoto kwa wakati mmoja, kwa Uchafu unaotendeka niliouona nikasema siwezi kuendelea hapa” Alisema Mwijaku