
Kutoka kwenye ukurasa wa mtandao wa kijamii wa Instagram wa aliyekuwa msemaji wa klabu ya Yanga SC, Haji Manara ameandika
–
ADVERTISEMENT
“Tukutane October 23 tuile Nyama yetu. Kila Mtu na Mtuwe na kila Mbwa humjua boss wake.
Nunua sasa Tiketi yako mapema uone Mwali kwa Ngariba wake anavyokuwa Izeeeeeeeee. ,,lainiiiiiiiiiii”
–
ADVERTISEMENT
Oktoba 23, 2022 kutakuwa na mchezo kati ya Mabingwa watetezi Yanga SC dhidi ya Simba SC unatarajiwa kupigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar ambapo wenyeji wa Mchezo huo watakuwa Yanga SC.