Mchezaji wa Soka mahiri anayekipiga mnamo klabu ya Simba hapa nchini Pape Sakho amekuja na Staili mpya ya kushangilia pale tu Goli liingiapo kimiani, ukiachana na staili yake maarufu iliyozoeleka ifahamikayo kama ” Ananyunyiza”. Staili hio ameidhihirisha mbele ya Mashabiki wa klabu na wapinzani wake, hio ni baada ya kufunga Sehemu ya Magoli 5 dhidi ya Mtimbwa Sugar FC kwenye mchezo uliochezwa jumapili ya Oktoba 30,2022 katika Dimba la Mkapa jijini Dar es Salaam.
ADVERTISEMENT