ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, April 1, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

RAIS AMTEUA MAREHEMU KUWA KAMANDA JESHINI

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Oct 19, 2022
in HABARI
0
RAIS AMTEUA MAREHEMU KUWA KAMANDA JESHINI
0
SHARES
175
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

 

RelatedPosts

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI

Apr 1, 2023

GARI LA KIFAHARI ZAIDI NA LENYE THAMANI KUBWA

Apr 1, 2023

ONYANGO AOMBEWA MSAMAHA KWA ALICHOFANYA

Apr 1, 2023
Load More

Hali ya sintofahamu imejitokeza Katika Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) baada ya Rais Félix Tshisekedi kumteua Jenerali Floribert Kisembo Bahemuka aliyefariki mnamo Mwaka 2011 kwa kupigwa Risasi kwa kudaiwa kuunda kikundi cha Uasi dhidi ya Serikali, kuwa mmoja wa Makamanda wa Jeshi.

 

 

 

–

 

 

Mwendazake Jenerali Floribert Kisembo Bahemuka alikuwa kamanda wa Kikosi cha FARDC huko e in Lubutu, Maniema na alipigwa risasi na kufariki dunia Aprili 30, 2011 na kikosi cha Serikali huko Lonyo village, Djugu.

 

 

–

 

 

Genera Jeneralil Floribert Kisembo alikuwa pia kamanda mwandamizi wa kikosi cha UPC chini ya Thomas Lubanga.

 

 


Rais Tshisekedi ambaye alifanya uteuzi huo juzi Jumatatu, Oktoba 17, 2022, pia alimtaja Jenerali aliyetoroka Jeshini, Jenerali John Tshibangu kama Kamanda wa eneo la 21 la Kijeshi katika uteuzi huo mpya.

 

 

–

 

 

ADVERTISEMENT

Jenerali Tshibangu Mwaka 2011 aliondoka Jeshini na kuongoza Uasi dhidi ya utawala wa Rais Joseph Kabila baada ya madai ya wizi wa kura kutoka eneo la Kasai Mashariki.

 

 

–

 

Tshibangu alikuwa miongoni mwa makamanda waliokuwa wakimuunga mkono kiongozi wa upinzani wakati ule, marehemu Étienne Tshisekedi ambaye ni baba mzazi wa Rais wa sasa wa Congo, Felix Tshisekedi.

ADVERTISEMENT

 

 

–

 

Baadaye alikimbilia Tanzania kama mkimbizi wa kivita kabla ya kurejeshwa Kinshasa kukabiliana na mashtaka yaliyokuwa yakimkabili kuhusu uasi dhidi ya Serikali ya Kabil.

 

Related

Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI
HABARI

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
GARI LA KIFAHARI ZAIDI NA LENYE THAMANI KUBWA
HABARI

GARI LA KIFAHARI ZAIDI NA LENYE THAMANI KUBWA

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
ONYANGO AOMBEWA MSAMAHA KWA ALICHOFANYA
HABARI

ONYANGO AOMBEWA MSAMAHA KWA ALICHOFANYA

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
KOCHA NABI NA WACHEZAJI HAWA KUKOSA MCHEZO DHIDI YA MAZEMBE, SABABU YATAJWA
HABARI

KOCHA NABI NA WACHEZAJI HAWA KUKOSA MCHEZO DHIDI YA MAZEMBE, SABABU YATAJWA

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
TANI 20.6 ZA BANGI ZIMEKAMATWA 2022
HABARI

TANI 20.6 ZA BANGI ZIMEKAMATWA 2022

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
SAFU YA ULINZI IMEWAANGUSHA SIMBA
HABARI

SAFU YA ULINZI IMEWAANGUSHA SIMBA

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
October 2022
M T W T F S S
 12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930
31  
« Sep   Nov »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In