Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mapokezi Rasmi ya Kiserikali ya Mhe. Felix Antoine Tshisekedi Tshilombo Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo leo Octoba 24,2022 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere JNIA