Nyota wa Klabu ya Manchester United , Christiano Ronaldo atakutana na Kocha Erik Ten Hagen kwa ajili ya kujua hatma yake licha ya kuwa inadaiwa anaondoka Man United bure January 2023.
–
Ronaldo aliondolewa kwenye kikosi cha kwanza baada ya kuchukua uamuzi wa kutoka uwanjani zikiwa zimebaki dakika 5 kabla ya game ya Tottenham na Man United kumalizika kwa ushindi wa 2-0.
–
leo Jumanne ya October 25, 2022 amewasili Uwanja wa mazoezi wa Man U (Carrington ) kwa ajili ya kukutana na Kocha Erik Ten Hagen.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT