Wizara ya Maendeleo ya Jamii imeshiriki vema Kampeni ya kupinga ukeketaji unaojitokeza katika baadhi ya jamii ikiwa bado ni tamaduni ambazo zinaathiri ustawi wa jamii na pia ni moja ya ukatili wa kijinsia, kampeni hio ilifanyika katika Kijiji cha Mandi Kata ya Dabili Wilaya ya Babati Mkoani Manyara.
ADVERTISEMENT