ADVERTISEMENT
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohamed Mchengerwa akakabidhi zawadi ya Hundi ya shilingi milioni 40 kwa Timu ya Taifa ya wanawake U17 Serengeti Girls baada ya kufika hatua ya robo fainali kwenye Kombe la Dunia India 2022. Wizara hio kwa niaba ya serikali imetambua mchango wa timu hio katika kulitangaza taifa kupitia mpira wa miguu ambayo italeta matokeo chanya katika kujenga uhusiano wa karibu na mafaifa mengine ya nje ya bara la Afrika kama vile nchi ya India kwenyewe ambapo michuano hio inapochukua nafasi kubwa katika kufanyika kwa michezo mingi ya michuano kuwania Kombe hilo la dunia.
@serengetigirlstz @wizara_sanaatz


ADVERTISEMENT