
Shabiki wa AS Vita aliyefahamika kwa jina la Eulethere Bidikamona (57) alipoteza maisha siku ya jana baada kosakosa ya goli katika nafasi ya mwisho katika ya marudiano dhidi RC Kadiogo mechi iliyoamuliwa kwa mikwaju ya penati.
–
Mpira uligonga nguzo ya kulia ya lango la Kadiogo katika dakika ya mwisho ya muda wa nyongeza.
–
ADVERTISEMENT
As Vita wamefanikiwa kutinga hatua ya Makundi Ligi Ya Mabingwa Afrika kwa mikwaju ya Penati 4-3.