Klabu ya Simba yailaza Dodoma Jiji FC (Walima Zabibu) 3-0 katika Mechi ya Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara iliyochezwa Jumapili Octoba 2,2022 na kuifanya klabu hio kufikisha jumla ya pointi 11 huku akipanda chati kwa kushikiria nafasi ya Kwanza kwa sasa katika Msimamo wa Ligi Kuu.