Mwanaharakati wa mitandaoni Carry Mastory ameeleza kuwa kwake yeye mahusiano ya Whozu_ na Wema Sepetu hajayapenda kabisa kwani hawaendani.
–
Ameongeza kuwa Whozu_ alikuwa anaendana sana na Tunda ila sio @Wema Sepetu
–
ADVERTISEMENT
Carry amethibitisha kuwa Wema Sepetu ana ujauzito wa miezi miwili ila haamini mpaka atakapoona tumbo kwa Wema Sepetu