ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, April 1, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

Stanbic yaungana na wadau kutoa mafunzo kwa wajasiriamali wa Arusha kufaidika na huduma ya Mpambanaji

I am Krantz by I am Krantz
Oct 13, 2022
in HABARI
0
Stanbic yaungana na wadau kutoa mafunzo kwa wajasiriamali  wa Arusha kufaidika na huduma ya Mpambanaji
0
SHARES
46
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
Mkuu wa Huduma za kibenki wa benki ya Stanbic, David Robogo (Wapili kulia) akizungumza katika warsha maalumu kwa ajili ya wafanaya biashara wadogo na wakati iliyoandaliwa na benki hiyo hivi karibuni kama sehemu ys uzinduzi wa suluhisho maalum la wateja hao jijini Arusha hapo jana. Pia kwenye picha ni Mwakilishi kutoka TRA Bi Enni Andrea Mwanga (Kulia), Mwakilishi wa Manispaa ya Arusha, Privanus Katinhila (Katikati), Mwakilishi wa wateja , Grace Lyatuu (Kushoto) na John Mosha Mkuu kitengo cha Vehicle and Asset Financing VAF (Wapili kushoto).

Arusha, 13 Oktoba 2022: Takribani wanyabiashara 120 jijini Arusha wamehudhuria warsha ya siku moja iliyoandaliwa na benki ya Stanbic chini ya kitengo cha Stanbic Incubator (Uatamizi), kwa kushirikiana na wadau mbalimbali kutoka TRA, SIDO na Manispaa, kutoa mafunzo kuhusu Nafasi ya Ubunifu na Teknolojia katika kuendesha na kukuza Biashara na Sheria, Kanuni na Taratibu za Biashara za kila siku.

Semina hii ni muendelezo wa shughuli za uzinduzi wa huduma ya Mpambanaji ambayo ilizinduliwa rasmi hivi karibuni jijini Mwanza. Kwa upekee kabisa benki hiyo imewaletea huduma ya Mpambanaji wakazi wa Arusha kupitia warsha ya mafunzo ambayo lengo lake kuu ni kuhakikisha wajasiriamali wanafahamu nyenzo muhimu za kukuza biashara zao.

RelatedPosts

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI

Apr 1, 2023

GARI LA KIFAHARI ZAIDI NA LENYE THAMANI KUBWA

Apr 1, 2023

ONYANGO AOMBEWA MSAMAHA KWA ALICHOFANYA

Apr 1, 2023
Load More

Akizungumza katika warsha hiyo Charles Mishetto, Mkuu wa kitengo cha Biashara ndogo na za kati wa benki hiyo alisistiza dhamira ya benki katika kuchangia ukuaji wa sekta ya biashara ndogo na kati nchini na si tu kwa huduma za kifedha bali pia kwa kuwawezesha kuboresha biashara zao na kuwaongezea upatikanaji wa masoko ili waweze kufikia malengo yao.

Naye Mkuu Kitengo, Stanbic Biashara Incubator (uatamaizi) Kai Mollel alisema;
“Kitengo cha Stanbic Biashara Incubator kina malengo ya kutoa mafunzo, kuunganisha masoko, na kuwaunganisha na mitaji wafanyabiashara wadogo na kati. Huduma hizi za kuchechemua, kulea na kuatamiza biashara zinaakisi ahadi ya benki ya kuwezesha wafanyabiashara ili kukuza uchumi wanchi. Hadi sasa wamefikiwa wafanyabiashara 250 Kutoka sekta mbalimbali mikoa ya Mwanza, Dar es salaam na Arusha.”

Kitengo hicho ni sehemu ya huduma zinazotolewa kwa wapambanaji. “Kupitia suluhisho la Mpambanaji, tunataka kuhakikisha wajasiriamali wanafikia malengo yao na wanajenga uwezo wa kushindana katika masoko ya kimataifa” Mollel, aliongeza.

ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Mmoja wa washirika wa warsha hiyo, Pendael Simion alisema warsha hiyo imemwezesha kuona upana wa huduma zinazotolewa na benki hiyo kwanzia kwa mfanyabiashara mmoja mmoja hadi kwa vikundi, na kilicho mfurahisha zaidi ni kuwa benki hiyo imeonesha kuwajali wateja wao kwani kwa mafunzo wanayotoa yanasaidia kuhakiksha wafanyabiashara wanakua na biashara endelevu.

Huduma ya Mpambanaji inajumuisha huduma mbalimbali, ambazo ni; Akaunti mahususi kwa wajasiriamali (akaunti ya Mpambanaji, Vikundi, na Saccos), programu ya incubator (programu inayozingatia kujenga uwezo), Huduma za kibenki bila mipaka, mikopo ya vyombo vya usafiri, huduma za Bima, Huduma ya kufanya biashara kati ya Tanzania na China, pamoja na huduma mpya ya Wakala wa Benki – Stanbic Wakala -yenye zaidi ya mawakala 500 wanaoongeza uwepo wa huduma za benki hii nchini.

Related

I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI
HABARI

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
GARI LA KIFAHARI ZAIDI NA LENYE THAMANI KUBWA
HABARI

GARI LA KIFAHARI ZAIDI NA LENYE THAMANI KUBWA

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
ONYANGO AOMBEWA MSAMAHA KWA ALICHOFANYA
HABARI

ONYANGO AOMBEWA MSAMAHA KWA ALICHOFANYA

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
KOCHA NABI NA WACHEZAJI HAWA KUKOSA MCHEZO DHIDI YA MAZEMBE, SABABU YATAJWA
HABARI

KOCHA NABI NA WACHEZAJI HAWA KUKOSA MCHEZO DHIDI YA MAZEMBE, SABABU YATAJWA

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
TANI 20.6 ZA BANGI ZIMEKAMATWA 2022
HABARI

TANI 20.6 ZA BANGI ZIMEKAMATWA 2022

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
SAFU YA ULINZI IMEWAANGUSHA SIMBA
HABARI

SAFU YA ULINZI IMEWAANGUSHA SIMBA

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
October 2022
M T W T F S S
 12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930
31  
« Sep   Nov »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In