Klabu ya Abha FC ya Saudi Arabia imethibitisha kumfuta kazi kocha, Sven Vandenbroeck kutokana na mwenendo mbaya wa matokeo.
–
Sven amefanikiwa kuiongoza klabu hiyo katika mechi 6 akipata ushinda mechi moja na kutoa sare mechi moja akipoteza mechi nne.
All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.