
Kozi ya siku 5 ya FIFA MA kwa vijana (Young Talent Refereeing course) imefunguliwa na Makamu wa Pili wa Rais TFF, Steven Mnguto kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, kozi hiyo inashirikisha waamuzi 35
@ligikuu @Tanfootball @azamtvtz


ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT