ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, March 20, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

TRA YATOA UFAFANUZI TUHUMA ZA KUKUSANYA KODI KIMABAVU

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Oct 14, 2022
in HABARI
0
TRA YATOA UFAFANUZI TUHUMA ZA KUKUSANYA KODI KIMABAVU
0
SHARES
213
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

 

RelatedPosts

RJ THE DJ VIFO VINAONGEZA MSONGO WA MAWAZO

ROMY JONS AOMBA MSAMAHA

Mar 20, 2023

MCHUNGAJI AFUNGA KANISA KISA ASHINDA MIL 100 ZA “KUBETI”

Mar 20, 2023

WAZIRI BITEKO ATAKA BAJETI YA 2023/24 KUZINGATIA VIPAUMBELE VYA WIZARA

Mar 20, 2023
Load More

 

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetolea ufafanuzi tuhuma zilizoandikwa kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter kuhusu ukusanyaji wa kodi kwa kutumia mabavu na kufafanua kwamba kilichokuwa kinafanyika, ilikuwa ni kukamata shehena ya vitenge vilivyoingizwa nchini kwa njia ya magendo.

 

 

–

 

 

Taarifa iliyotolewa Oktoba 13, 2022 na Idara ya Huduma na Elimu ya Mlipakodi ya TRA imeeleza kuwa asubuhi ya Oktoba 13, 2022 kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter, zilitolewa tuhuma kwa serikali kwamba inakusanya kodi kwa kutumia mabavu katika eneo la Kariakoo usiku majira ya saa saba kwa mfanyabiashara aliyefahamika kama mama Kibonge.

 

 

–

 

Mamlaka hiyo imesema kuwa zoezi lililokuwa linafanyika kwenye stoo za mfanyabiashara huyo, ni ukamataji wa shehena za vitenge zilizoingizwa nchini kwa njia ya magendo.

 

 

ADVERTISEMENT

 

Ikazidi kuelezwa kwamba TRA imekuwa ikifuatilia tuhuma zilizokuwa zikitolewa dhidi ya mfanyabiashara huyo za uingizaji wa bidhaaa za vitenge nchini kwa njia za magendo ambapo hivi karibuni, uchunguzi ulibaini kuwa kulikuwa na makontena mawili yenye mizigo ambayo nyaraka zake zilionesha kuwa bidhaa zilizokuwa ndani yake zilikuwa ni mashuka zikielekea Chitipa, Mzuzu nchini Malawi.

 

ADVERTISEMENT

 

–

 

Taarifa ikazidi kueleza kuwa bidhaa hizo hazikuwa mashuka kama nyaraka zilivyoonesha bali zilikuwa ni vitenge vinavyotarajiwa kuingizwa nchini pasipo kulipiwa kodi, zikihusishwa na mfanyabiashara huyo.

Related

ADVERTISEMENT
Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

RJ THE DJ VIFO VINAONGEZA MSONGO WA MAWAZO
HABARI

ROMY JONS AOMBA MSAMAHA

by Shabani Rapwi
Mar 20, 2023
MCHUNGAJI AFUNGA KANISA KISA ASHINDA MIL 100 ZA “KUBETI”
HABARI

MCHUNGAJI AFUNGA KANISA KISA ASHINDA MIL 100 ZA “KUBETI”

by ALFRED MTEWELE
Mar 20, 2023
WAZIRI BITEKO ATAKA BAJETI YA 2023/24 KUZINGATIA VIPAUMBELE VYA WIZARA
HABARI

WAZIRI BITEKO ATAKA BAJETI YA 2023/24 KUZINGATIA VIPAUMBELE VYA WIZARA

by Shabani Rapwi
Mar 20, 2023
TMA YATOA TAHADHARI MVUA KUBWA MIKOA HII KUANZIA LEO NA KESHO
HABARI

TMA YATOA TAHADHARI MVUA KUBWA MIKOA HII KUANZIA LEO NA KESHO

by Shabani Rapwi
Mar 20, 2023
WATU 5 WASHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA WIZI MAFUTA SGR
HABARI

WATU 5 WASHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA WIZI MAFUTA SGR

by ALFRED MTEWELE
Mar 20, 2023
MARUFUKU KUTOA FEDHA UPATE DHAMANA POLISI
HABARI

MARUFUKU KUTOA FEDHA UPATE DHAMANA POLISI

by Shabani Rapwi
Mar 20, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
October 2022
M T W T F S S
 12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930
31  
« Sep   Nov »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In