Kupitia Mzizima Derby iliyohusisha miamba miwili kutokea jijini Dar es Salaam yaani Simba SC na Azam FC, Kocha mkuu wa Kikosi cha Simba Juma Mgunda afutiwa rekodi ya Unbeaten katika Michuano ya Ligi kuu ya NBC Tanzania bara kupitia goli lililofungwa dakika ya 35′ na mchezaji wa Azam FC, Prince Dube, hio ni tangu alipokabidhiwa kukifua kikosi hicho cha Simba SC.
ADVERTISEMENT